Matthew 28:12 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, wakakutana pamoja na wazee, na baada ya kushauriana, wakawapa wale askari kiasi kikubwa cha fedha
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya viongozi wa makuhani kukutana na wazee na kupanga njama, waliwapa wale askari kiasi kikubwa cha fedha,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakakusanyika pamoja na wazee, wakafanya shauri, wakawapa askari fedha nyingi,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ndipo makuhani wakakutana na viongozi wazee wa Kiyahudi na kufanya mpango. Wakawalipa wale askari pesa nyingi
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, wakakutana pamoja na wazee, na baada ya kushauriana, wakawapa wale askari kiasi kikubwa cha fedha
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, wakakutana pamoja na wazee, na baada ya kushauriana, wakawapa wale askari kiasi kikubwa cha fedha
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya viongozi wa makuhani kukutana na wazee na kutunga hila, waliwapa wale askari kiasi kikubwa cha fedha
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya viongozi wa makuhani kukutana na wazee na kutunga hila, waliwapa wale askari kiasi kikubwa cha fedha
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakakusanyika pamoja na wazee, wakafanya shauri, wakawapa askari fedha nyingi,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, wakakutana pamoja na wazee, na baada ya kushauriana, wakawapa wale askari kiasi kikubwa cha fedha
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakakusanyika pamoja na wazee, wakala njama, wakatoa fedha nyingi za kuwapa wale askari,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakakusanyika pamoja na wazee, wakafanya shauri, wakawapa askari fedha nyingi,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakubwa wa makuhani wakakutana pamoja na wasimamizi wa watu na kukata shauri. Wakawapa wale waaskari feza nyingi
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)