Matthew 28:14 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na kama mkuu wa mkoa akijua jambo hili, sisi tutasema naye na kuhakikisha kuwa nyinyi hamtapata matatizo.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama habari hizi zikimfikia mtawala, sisi tutamwondolea mashaka nanyi hamtapata tatizo lolote.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na neno hili likisikilikana kwa liwali, sisi tutasema naye, nanyi tutawaondolea wasiwasi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Gavana atakaposikia juu ya hili, tutazungumza naye ili msiadhibiwe.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Na kama mkuu wa mkoa akijua jambo hili, sisi tutasema naye na kuhakikisha kuwa ninyi hamtapata matatizo.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na kama mkuu wa mkoa akijua jambo hili, sisi tutasema naye na kuhakikisha kuwa nyinyi hamtapata matatizo.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama habari hizi zikimfikia mtawala, sisi tutamwondolea mashaka nanyi hamtapata tatizo lo lote.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama habari hizi zikimfikia mtawala, sisi tutamwondolea mashaka nanyi hamtapata tatizo lolote.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na jambo hili likisikika kwa mtawala, sisi tutasema naye, nanyi hamtapata shida.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na kama mkuu wa mkoa akijua jambo hili, sisi tutasema naye na kuhakikisha kuwa nyinyi hamtapata matatizo.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Neno hili likijulikana kwa mtawala nchi, sisi tutasema naye kwa werevu, ninyi msipate mahangaiko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na neno hili likisikilikana kwa liwali, sisi tutasema naye, nanyi tutawaondolea wasiwasi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na kama liwali akisikia habari hii, sisi tutasemezana naye na kuhakikisha yale yaliyotokea kusudi musipate matata.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na jambo hili likisikilikana kwa liwali, tutasema nae, nanyi tutawaondoa shaka.