Matthew 28:3 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alionekana kama umeme na mavazi yake yalikuwa meupe kama theluji.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sura ya huyo malaika ilikuwa kama umeme, na mavazi yake yalikuwa meupe kama theluji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na sura yake ilikuwa kama umeme, na mavazi yake meupe kama theluji.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Malaika alikuwa anang'aa kama miali ya radi. Mavazi yake yalikuwa meupe kama theluji.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Alionekana kama umeme na mavazi yake yalikuwa meupe kama theluji.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alionekana kama umeme na mavazi yake yalikuwa meupe kama theluji.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sura ya huyo malaika ilikuwa kama umeme na mavazi yake yalikuwa meupe kama theluji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sura ya huyo malaika ilikuwa kama umeme, na mavazi yake yalikuwa meupe kama theluji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na sura yake ilikuwa kama umeme, na mavazi yake meupe kama theluji.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alionekana kama umeme na mavazi yake yalikuwa meupe kama theluji.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sura yake ilikuwa kama umeme, nguo zake zikang'aa kama chokaa juani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na sura yake ilikuwa kama umeme, na mavazi yake meupe kama theluji.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeye aliangaa kama umeme na nguo yake ilikuwa nyeupe sana.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na sura yake ilikuwa kama umeme, na mavazi yake meupe kama thuluji.