Matthew 3:1 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku zile Yohane Mbatizaji alitokea, akaanza kuhubiri katika jangwa la Yudea:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku hizo Yahya alikuja akihubiri katika nyika ya Yudea, akisema,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Siku zile aliondokea Yohana Mbatizaji akihubiri katika nyika ya Uyahudi, na kusema,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Baadaye, kabla ya miaka mingi kupita, Yohana Mbatizaji alianza kuwahubiri watu ujumbe uliotoka kwa Mungu. Naye alihubiri kutokea maeneo ya nyikani huko Uyahudi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Siku hizo Yohane Mbatizaji alitokea, akaanza kuhubiri katika jangwa la Yudea:
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku zile Yohane Mbatizaji alitokea, akaanza kuhubiri katika jangwa la Yudea:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku hizo Yohana Mbatizaji alikuja akihubiri katika Nyika ya Uyahudi, akisema,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku hizo Yahya alikuja akihubiri katika nyika ya Uyahudi, akisema,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Siku zile aliondokea Yohana Mbatizaji akihubiri katika nyika ya Yudea, na kusema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku zile Yohane Mbatizaji alitokea, akaanza kuhubiri katika jangwa la Yudea:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku zile alitokea Yohana Mbatizaji, akapiga mbiu nyikani kwa Yudea akisema:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Siku zile aliondokea Yohana Mbatizaji akihubiri katika nyika ya Uyahudi, na kusema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika siku zile Yoane Mubatizaji alitokea akihubiri katika jangwa la Yudea
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
SIKU zile akaondokea Yohana Mbatizaji akikhubiri katika jangwa ya Yahudi, akinena,