Matthew 4:11 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Ibilisi akamwacha, na malaika wakaja, wakamhudumia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo ibilisi akamwacha, nao malaika wakaja na kumhudumia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha Ibilisi akamwacha; na tazama, wakaja malaika wakamtumikia.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Baada ya hayo, Shetani akamwacha. Ndipo malaika wakaja kumhudumia.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, Ibilisi akamwacha, na malaika wakaja, wakamhudumia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Ibilisi akamwacha, na malaika wakaja, wakamhudumia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo ibilisi akamwacha, nao malaika wakaja na kumtumikia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo ibilisi akamwacha, nao malaika wakaja na kumhudumia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha Ibilisi akamwacha; na tazama, wakaja malaika wakamtumikia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Ibilisi akamwacha, na malaika wakaja, wakamhudumia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Msengenyaji alipomwacha. Mara malaika wakaja, wakamtumikia.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha Ibilisi akamwacha; na tazama, wakaja malaika wakamtumikia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi Shetani akamwacha Yesu, nao wamalaika wakakuja kushugulika naye.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kisha Shetani akamwacha; wakaja malaika wakamtumikia.