Matthew 4:13 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliondoka Nazareti, akaenda Kafarnaumu, mji ulio kando ya bahari ya Genesareti, mpakani mwa wilaya za Zebuluni na Naftali, akakaa huko.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akaondoka Nasiri akaenda kuishi Kapernaumu, mji ulio karibu na bahari, katika nchi ya Zabuloni na Naftali,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
akatoka Nazareti, akaja akakaa Kapernaumu, mji ulioko pwani, mipakani mwa Zabuloni na Naftali;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini aliondoka Nazareti. Alikwenda kuishi Kapernaumu, mji ulio kando kando ya Ziwa Galilaya katika eneo la Zabuloni na Naftali.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Aliondoka Nazareti, akaenda Kafarnaumu, mji ulio kando ya bahari ya Genesareti, mpakani mwa wilaya za Zabuloni na Naftali, akakaa huko.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliondoka Nazareti, akaenda Kafarnaumu, mji ulio kando ya bahari ya Genesareti, mpakani mwa wilaya za Zebuluni na Naftali, akakaa huko.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akaondoka Nazareti akaenda kuishi Kapernaumu mji ulioko karibu na bahari, katika mipaka ya nchi ya Zabuloni na ya Naftali,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akaondoka Nasiri akaenda kuishi Kapernaumu, mji ulioko karibu na bahari, katika mipaka ya nchi ya Zabuloni na Naftali,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
akatoka Nazareti, akaja akakaa Kapernaumu, mji ulioko pwani, mipakani mwa Zabuloni na Naftali;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliondoka Nazareti, akaenda Kafarnaumu, mji ulio kando ya bahari ya Genesareti, mpakani mwa wilaya za Zebuluni na Naftali, akakaa huko.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akahama Nasareti, akaenda kukaa Kapernaumu ulioko pwani mipakani kwa Zebuluni na Nafutali,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
akatoka Nazareti, akaja akakaa Kapernaumu, mji ulioko pwani, mipakani mwa Zabuloni na Naftali;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeye akatoka Nazareti, akaenda kukaa Kapernaumu, pembeni ya ziwa la Galilaya, katika wilaya ya Zebuluni na ya Nafutali, kusudi yatimie
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
akatoka Nazareti, akaenda, akakaa Kapernaum, ulioko pwani, mipakani mwa Zabulon na Nafthalim: