Matthew 4:15 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Nchi ya Zebuluni na nchi ya Naftali, kuelekea baharini ngambo ya mto Yordani, Galilaya, nchi ya watu wa mataifa!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Nchi ya Zabuloni na nchi ya Naftali, kwenye njia ya bahari, ng’ambo ya Yordani, Galilaya ya Mataifa:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nchi ya Zabuloni na nchi ya Naftali, Njia ya bahari, ng'ambo ya Yordani, Galilaya ya mataifa,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
“Sikilizeni, enyi nchi ya Zabuloni na Naftali, nchi iliyo kando ya barabara iendayo baharini, ng'ambo ya Mto Yordani! Galilaya, wanapokaa Mataifa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
“Nchi ya Zabuloni na nchi ya Naftali, kuelekea baharini ng'ambo ya mto Yordani, Galilaya nchi ya watu wa Mataifa!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Nchi ya Zebuluni na nchi ya Naftali, kuelekea baharini ng'ambo ya mto Yordani, Galilaya, nchi ya watu wa mataifa!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Nchi ya Zabuloni na nchi ya Naftali, kwenye njia ya kuelekea baharini, ng'ambo ya Yordani, Galilaya ya watu Mataifa:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Nchi ya Zabuloni na nchi ya Naftali, kwenye njia ya kuelekea baharini, ng’ambo ya Yordani, Galilaya ya watu wa Mataifa:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nchi ya Zabuloni na nchi ya Naftali, Njia ya bahari, ng'ambo ya Yordani, Galilaya ya mataifa,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Nchi ya Zebuluni na nchi ya Naftali, kuelekea baharini ngambo ya mto Yordani, Galilaya, nchi ya watu wa mataifa!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nchi ya Zebuluni na nchi ya Nafutali zilizoko upande wa pwani na ng'ambo ya Yordani, Galilea ya wamizimu iliko,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nchi ya Zabuloni na nchi ya Naftali, Njia ya bahari, ng’ambo ya Yordani, Galilaya ya mataifa,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Inchi ya Zebuluni na ya Nafutali, kufuata barabara inayokwenda kwenye ziwa, ngambo ya magaribi ya Yordani, katika jimbo la Galilaya, inchi ya watu wa mataifa mengine.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Inchi ya Zabulon na inchi ya Nafthalim, Njia ya bahari ngʼambu ya Yordani, Galilaya ya mataifa,