Matthew 4:16 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu waliokaa gizani wameona mwanga mkubwa. Nao walioishi katika nchi ya giza na kivuli cha kifo, mwanga umewaangazia!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
watu wale waliokaa gizani wameona nuru kuu; nao wale walioishi katika nchi ya uvuli wa mauti, nuru imewazukia.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watu wale waliokaa katika giza Wameona mwanga mkuu, Nao waliokaa katika nchi na uvuli wa mauti Mwanga umewazukia.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Watu wanaoishi katika giza ya kiroho, nao wameiona nuru iliyo kuu. Nuru hiyo imeangaza kwa ajili yao wale wanaoishi katika nchi yenye giza kama kaburi.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Watu waliokaa gizani wameona mwanga mkubwa. Nao walioishi katika nchi ya giza na kivuli cha kifo, mwanga umewaangazia!”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu waliokaa gizani wameona mwanga mkubwa. Nao walioishi katika nchi ya giza na kivuli cha kifo, mwanga umewaangazia!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
watu wale waliokaa gizani wameona nuru kuu nao wale waliokaa katika nchi ya uvuli wa mauti, nuru imewazukia.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
watu wale waliokaa gizani wameona nuru kuu; nao wale walioishi katika nchi ya uvuli wa mauti, nuru imewazukia.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watu wale waliokaa katika giza Wameona mwanga mkuu, Nao waliokaa katika nchi na uvuli wa mauti Mwanga umewazukia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu waliokaa gizani wameona mwanga mkubwa. Nao walioishi katika nchi ya giza na kivuli cha kifo, mwanga umewaangazia!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
huko watu waliokaa gizani wameona mwanga mkuu, waliokaa penye kivuli kuacho mwanga umemulika juu yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watu wale waliokaa katika giza Wameona mwanga mkuu, Nao waliokaa katika nchi na uvuli wa mauti Mwanga umewazukia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu hao wanaokaa katika giza, mwangaza umewatokea! Hao wanaoishi katika inchi yenye giza nzito sana ya lufu, wameona mwangaza mukubwa.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Watu waliokaa gizani Waliona mwanga mkuu, Nao waliokaa katika inchi na kivuli cha mauti, Mwanga umewazukia.