Matthew 4:2 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akafunga siku arubaini mchana na usiku, na mwishowe akaona njaa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya kufunga siku arobaini usiku na mchana, hatimaye akaona njaa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akafunga siku arobaini mchana na usiku, mwisho akaona njaa.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Baada ya Yesu kufunga kwa siku arobaini mchana na usiku, akaumwa njaa sana.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Akafunga siku arubaini mchana na usiku, na mwishowe akaona njaa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akafunga siku arubaini mchana na usiku, na mwishowe akaona njaa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya kufunga siku arobaini mchana na usiku, hatimaye akaona njaa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya kufunga siku arobaini usiku na mchana, hatimaye akaona njaa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akafunga siku arobaini mchana na usiku, mwishowe akaona njaa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Akafunga siku arubaini mchana na usiku, na mwishowe akaona njaa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akafunga siku 40 mchana na usiku, kisha akaona njaa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akafunga siku arobaini mchana na usiku, mwisho akaona njaa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye Yesu alipomaliza kufunga kula chakula kwa muda wa siku makumi ine, muchana na usiku, akasikia njaa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akafunga siku arubaini mchana na usiku, baadae akaona njaa.