Matthew 4:9 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
akamwambia, “Hivi vyote nitakupa kama ukipiga magoti na kuniabudu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kisha akamwambia, “Nitakupa hivi vyote ukinisujudia na kuniabudu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
akamwambia, Haya yote nitakupa, ukianguka kunisujudia.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Shetani akamwambia Yesu, “Ukiinama na kuniabudu, nitakupa vitu hivi vyote.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
akamwambia, “Hivi vyote nitakupa kama tu ukipiga magoti na kuniabudu.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
akamwambia, “Hivi vyote nitakupa kama ukipiga magoti na kuniabudu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kisha akamwambia, “Nitakupa hivi vyote kama ukinisujudia na kuniabudu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kisha akamwambia, “Nitakupa hivi vyote kama ukinisujudia na kuniabudu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
akamwambia, Haya yote nitakupa, ukiinama na kunisujudia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
akamwambia, “Hivi vyote nitakupa kama ukipiga magoti na kuniabudu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akamwambia: Haya yote nitakupa, ukiniangukia na kuninyenyekea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
akamwambia, Haya yote nitakupa, ukianguka kunisujudia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu akamwambia: “Nitakupa hivi vyote, kama ukipiga magoti mbele yangu na kuniabudu.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Hizi zote nitakupa, ukianguka kunisujudia.