Matthew 5:10 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Heri wanaoteswa kwa sababu ya kufanya atakavyo Mungu, maana ufalme wa mbinguni ni wao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Heri wanaoteswa kwa sababu ya haki, maana ufalme wa mbinguni ni wao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Heri wenye kuudhiwa kwa ajili ya haki; Maana ufalme wa mbinguni ni wao.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Heri kwa wanaoteswa kwa sababu ya kutenda haki. Kwa kuwa ufalme wa Mungu ni wao.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Heri wanaoteswa kwa sababu ya kufanya atakavyo Mungu, maana ufalme wa mbinguni ni wao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Heri wanaoteswa kwa sababu ya kufanya atakavyo Mungu, maana ufalme wa mbinguni ni wao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Heri wanaoteswa kwa sababu ya haki, maana hao Ufalme wa Mbinguni ni wao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Heri wanaoteswa kwa sababu ya haki, maana Ufalme wa Mbinguni ni wao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Heri wenye kuudhiwa kwa ajili ya haki; Maana ufalme wa mbinguni ni wao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Heri wanaoteswa kwa sababu ya kufanya atakavyo Mungu, maana ufalme wa mbinguni ni wao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wenye shangwe ndio wanaofukuzwa kwa ajili ya wongofu wao, maana hao ufalme wa mbingu ni wao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Heri wenye kuudhiwa kwa ajili ya haki; Maana ufalme wa mbinguni ni wao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Heri wale wanaoteswa kwa ajili ya haki, maana Ufalme wa mbinguni ni kwao!
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wa kheri wateswao kwa ajili ya haki: maana ufalme wa mbinguni ni wao.