Matthew 5:17 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Msidhani kuwa nimekuja kutangua sheria na mafundisho ya manabii. Sikuja kutangua bali kukamilisha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Msidhani kwamba nimekuja kufuta Torati au Manabii; sikuja kuondoa bali kutimiza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Msifikiri kwamba nimekuja kuiharibu Sheria ya Musa au mafundisho ya manabii. Sikuja kuyaharibu mafundisho yao bali kuyakamilisha.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
“Msidhani ya kuwa nimekuja kutangua Sheria ya Mose na mafundisho ya manabii. Sikuja kutangua bali kukamilisha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Msidhani kuwa nimekuja kutangua sheria na mafundisho ya manabii. Sikuja kutangua bali kukamilisha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Msidhani kwamba nimekuja kufuta Torati au Manabii, sikuja kuondoa bali kutimiza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Msidhani kwamba nimekuja kufuta Torati au Manabii; sikuja kuondoa bali kutimiza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Msidhani ya kuwa nilikuja kuitangua Torati au Manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Msidhani kuwa nimekuja kutangua sheria na mafundisho ya manabii. Sikuja kutangua bali kukamilisha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Msiniwazie, ya kuwa nimejia kuyatangua Maonyo au maneno ya Wafumbuaji. Sikujia kutangua, nimejia kutimiza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Musizani kama nilikuja kuvunja Sheria ya Musa au mafundisho ya manabii. Mimi sikukuja kuvunja, lakini kukamilisha.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza.