Matthew 5:23 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Basi, ukipeleka sadaka yako mbele ya madhabahu na hapo ukakumbuka kwamba ndugu yako ana ugomvi nawe,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Kwa hiyo, ikiwa unatoa sadaka yako madhabahuni, ukakumbuka kuwa ndugu yako ana kitu dhidi yako,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi ukileta sadaka yako madhabahuni, na huku ukikumbuka ya kuwa ndugu yako ana neno juu yako,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Unapokwenda kutoa sadaka yako madhabahuni na ukakumbuka kuwa kuna mtu ana jambo dhidi yako.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Basi, ukipeleka sadaka yako mbele ya madhabahu na hapo ukakumbuka kwamba ndugu yako ana ugomvi nawe,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Basi, ukipeleka sadaka yako mbele ya madhabahu na hapo ukakumbuka kwamba ndugu yako ana ugomvi nawe,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Kwa hiyo, kama unatoa sadaka yako madhabahuni, ukakumbuka kuwa ndugu yako ana kitu dhidi yako,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Kwa hiyo, kama unatoa sadaka yako madhabahuni, ukakumbuka kuwa ndugu yako ana kitu dhidi yako,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi ukileta sadaka yako madhabahuni, ukikumbuka ya kuwa ndugu yako ana neno juu yako,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Basi, ukipeleka sadaka yako mbele ya madhabahu na hapo ukakumbuka kwamba ndugu yako ana ugomvi nawe,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ukipeleka kipaji chako mezani pa Bwana, ukakumbuka hapo, ya kuwa ndugu yako ana mfundo moyoni kwa ajili yako,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi ukileta sadaka yako madhabahuni, na huku ukikumbuka ya kuwa ndugu yako ana neno juu yako,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi kama ukienda kumutolea Mungu sadaka juu ya mazabahu na pale ukikumbuka kwamba ndugu yako yuko na neno juu yako,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi ukileta sadaka yako madhbahuni, na huku ukikumbuka ya kuwa ndugu yako ana neno juu yako,