Matthew 5:24 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
iache sadaka yako mbele ya madhabahu, nenda kwanza ukapatane na ndugu yako, ndipo urudi utoe sadaka yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
iache sadaka yako hapo mbele ya madhabahu. Nenda kwanza ukapatane na ndugu yako; kisha urudi na ukatoe sadaka yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
iache sadaka yako mbele ya madhabahu, uende zako, upatane kwanza na ndugu yako, kisha urudi uitoe sadaka yako.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Unapaswa kuiacha sadaka yako kwenye madhabahu na uende kupatana na mtu huyo. Ukiisha patana naye ndipo urudi na kuitoa sadaka hiyo.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
iache sadaka yako mbele ya madhabahu, nenda kwanza ukapatane na ndugu yako, ndipo urudi ukatoe sadaka yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
iache sadaka yako mbele ya madhabahu, nenda kwanza ukapatane na ndugu yako, ndipo urudi utoe sadaka yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
iache sadaka yako hapo, mbele ya madhabahu, uende kwanza ukapatane na ndugu yako wa kiume au wa kike, kisha urudi na ukatoe sadaka yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
iache sadaka yako hapo mbele ya madhabahu. Enda kwanza ukapatane na ndugu yako; kisha urudi na ukatoe sadaka yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
iache sadaka yako mbele ya madhabahu, uende zako, upatane kwanza na ndugu yako, kisha urudi uitoe sadaka yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
iache sadaka yako mbele ya madhabahu, nenda kwanza ukapatane na ndugu yako, ndipo urudi utoe sadaka yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
basi, kwanza kiache kipaji chako mbele ya meza ya Bwana! Uende kwanza, upatane na ndugu yako! Kisha urudi, ukitoe kipaji chako!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
iache sadaka yako mbele ya madhabahu, uende zako, upatane kwanza na ndugu yako, kisha urudi uitoe sadaka yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
uache sadaka yako pale mbele ya mazabahu na uende kwanza kusikilizana naye. Na kisha urudie na kutoa sadaka yako.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
iache sadaka yako mbele ya madbbahu, nenda zako, kwanza patana na ndugu yako, kisha rudi utoe sadaka yako,