Matthew 5:26 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kweli nakuambia, hutatoka humo mpaka umelipa senti ya mwisho.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Amin, nakuambia, hutatoka humo hadi uwe umelipa senti ya mwisho.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Amin, nakuambia, Hutoki humo kamwe hata uishe kulipa senti ya mwisho.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ninakuhakikishia kuwa hautatoka huko mpaka umelipa kila kitu unachodaiwa.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kweli nakwambia, hutatoka humo mpaka umemaliza kulipa senti ya mwisho.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kweli nakuambia, hutatoka humo mpaka umelipa senti ya mwisho.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Amin, nakuambia, hutatoka humo mpaka umelipa hadi senti ya mwisho.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Amin, nakuambia, hautatoka humo hadi uwe umelipa senti ya mwisho.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Amin, nakuambia, Hutoki humo kamwe hadi utakapolipa senti ya mwisho.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kweli nakuambia, hutatoka humo mpaka umelipa senti ya mwisho.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kweli nakuambia: Hutatoka humo kabisa, mpaka utakapomaliza kulipa, isisalie hata senti moja*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Amin, nakuambia, Hutoki humo kamwe hata uishe kulipa senti ya mwisho.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kweli ninakuambia: hautatoka mule mpaka utakapomaliza kulipa sengi ya mwisho.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Amin, nakuambia, Hutoki humo kamwe hatta uishe kulipa pesa ya mwisho.