Matthew 5:34 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini mimi nawaambieni, msiape kamwe; wala kwa mbingu, maana ni kiti cha enzi cha Mungu;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini mimi nawaambia, msiape kabisa: iwe kwa mbingu, kwa kuwa ni kiti cha enzi cha Mungu;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
lakini mimi nawaambia, Usiape kabisa; hata kwa mbingu, kwa maana ndicho kiti cha enzi cha Mungu;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini ninawaambia mnapoweka ahadi, msiape kwa jina la mbingu, kwa sababu mbingu ni kiti cha enzi cha Mungu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini mimi nawaambieni, msiape kamwe; wala kwa mbingu, maana ni kiti cha enzi cha Mungu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini mimi nawaambieni, msiape kamwe; wala kwa mbingu, maana ni kiti cha enzi cha Mungu;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini mimi nawaambia, Msiape kabisa, ama kwa mbingu, kwa kuwa ni kiti cha enzi cha Mungu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini mimi nawaambia, msiape kabisa: iwe kwa mbingu, kwa kuwa ni kiti cha enzi cha Mwenyezi Mungu;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
lakini mimi nawaambia, Usiape kabisa; hata kwa mbingu, kwa maana ndicho kiti cha enzi cha Mungu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini mimi nawaambieni, msiape kamwe; wala kwa mbingu, maana ni kiti cha enzi cha Mungu;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mimi nawaambiani: Usiape na kutaja yoyote, wala mbingu, kwani ndicho kiti cha kifalme cha Mungu;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
lakini mimi nawaambia, Usiape kabisa; hata kwa mbingu, kwa maana ndicho kiti cha enzi cha Mungu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini mimi ninawaambia: musiape hata kidogo kwa jina la mbingu, kwa maana ni kiti cha kifalme cha Mungu;
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
bali mimi nawaambieni, Usiape kabisa; hatta kwa mbingu, kwa maana ndio kiti cha enzi cha Mungu;