Matthew 5:35 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wala kwa dunia, maana ni kiti chake cha kuwekea miguu; wala kwa Yerusalemu, maana ni mji wa Mfalme mkuu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
au kwa dunia, kwa kuwa ndipo mahali pake pa kuwekea miguu; au kwa Yerusalemu, kwa kuwa ndio mji wa Mfalme Mkuu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wala kwa nchi, kwa maana ndiyo pa kuwekea miguu yake; wala kwa Yerusalemu, kwa maana ndio mji wa Mfalme mkuu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na usiape kwa jina la dunia kwa sababu, dunia ni mahali pa kuweka miguu yake. Wala msiape kwa jina la mji wa Yerusalemu, kwa sababu nao ni mali yake Mungu, aliye Mfalme Mkuu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
wala kwa dunia, maana ni kiti chake cha kuwekea miguu; wala kwa Yerusalemu, maana ni mji wa Mfalme mkuu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wala kwa dunia, maana ni kiti chake cha kuwekea miguu; wala kwa Yerusalemu, maana ni mji wa Mfalme mkuu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
au kwa nchi, kwa kuwa ndipo mahali pake pa kuwekea miguu, au kwa Yerusalemu, kwa kuwa ndio mji wa Mfalme Mkuu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
au kwa dunia, kwa kuwa ndipo mahali pake pa kuwekea miguu; au kwa Yerusalemu, kwa kuwa ndio mji wa Mfalme Mkuu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wala kwa nchi, kwa maana ndipo pa kuwekea miguu yake; wala kwa Yerusalemu, kwa maana ndio mji wa Mfalme mkuu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wala kwa dunia, maana ni kiti chake cha kuwekea miguu; wala kwa Yerusalemu, maana ni mji wa Mfalme mkuu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wala nchi, kwani ndipo pa kuiwekea miguu yake; wala Yerusalemu, kwani ndio mji wa mfalme aliye mkuu;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wala kwa nchi, kwa maana ndiyo pa kuwekea miguu yake; wala kwa Yerusalemu, kwa maana ndio mji wa Mfalme mkuu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
wala kwa jina la dunia, kwa maana ni kiti chake cha kupumzishia miguu; wala kwa jina la Yerusalema, kwa maana ni muji wa Mufalme mukubwa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
wala kwa inchi, kwa maana ndio pa kuwekea miguu yake; wala kwa Yerusalemi, kwa maana ndio mji wa Mfalme mkuu.