Matthew 5:36 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wala usiape kwa kichwa chako, maana huwezi kuufanya hata unywele mmoja kuwa mweupe au mweusi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nanyi msiape kwa vichwa vyenu, kwa kuwa hamwezi kuufanya hata unywele mmoja kuwa mweupe au mweusi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wala usiape kwa kichwa chako, maana huwezi kufanya unywele mmoja kuwa mweupe au mweusi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Pia usiape kwa jina la kichwa chako kana kwamba ni uthibitisho kuwa utatimiza kiapo, kwa sababu huwezi kuufanya hata unywele mmoja wa kichwa chako kuwa mweusi au mweupe.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wala usiape kwa kichwa chako, maana huwezi kuufanya hata unywele mmoja kuwa mweupe au mweusi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wala usiape kwa kichwa chako, maana huwezi kuufanya hata unywele mmoja kuwa mweupe au mweusi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nanyi msiape kwa vichwa vyenu kwa kuwa hamwezi kuufanya hata unywele mmoja kuwa mweupe au mweusi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nanyi msiape kwa vichwa vyenu, kwa kuwa hamwezi kuufanya hata unywele mmoja kuwa mweupe au mweusi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wala usiape kwa kichwa chako, maana huwezi kufanya unywele mmoja kuwa mweupe au mweusi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wala usiape kwa kichwa chako, maana huwezi kuufanya hata unywele mmoja kuwa mweupe au mweusi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wala kichwa chako, kwani hata unywele mmoja tu huwezi kuugeuza uwe mweupe au mweusi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wala usiape kwa kichwa chako, maana huwezi kufanya unywele mmoja kuwa mweupe au mweusi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutu asiape akitaja hata kichwa chake mwenyewe, kwa maana hawezi kugeuza hata unywele wake mumoja kuwa mweupe au mweusi.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wala usiape kwa kichwa chako, maana huwezi kufanya unyele mmoja kuwa mwenpe au mwensi.