Matthew 5:40 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtu akikupeleka mahakamani kutaka kukuchukulia shati lako, mwache achukue pia koti lako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtu akitaka kukushtaki na kuchukua joho lako, mwachie achukue na koti pia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mtu atakaye kukushitaki na kuitwaa kanzu yako, mwachie na joho pia.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mtu akitaka kukushitaki ili akunyang'anye shati, mpe na koti pia.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mtu akikupeleka mahakamani kutaka kukuchukulia shati lako, mwache achukue pia koti lako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtu akikupeleka mahakamani kutaka kukuchukulia shati lako, mwache achukue pia koti lako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama mtu akitaka kukushtaki na kuchukua shati lako, mwachie achukue na koti pia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama mtu akitaka kukushtaki na kuchukua joho lako, mwachie achukue na koti pia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mtu atakaye kukushitaki na kulichukua shati lako, mwachie na koti pia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtu akikupeleka mahakamani kutaka kukuchukulia shati lako, mwache achukue pia koti lako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtu akitaka kushtakiana na wewe, apate kuichukua shuka yako, basi, umwachie na kanzu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mtu atakaye kukushitaki na kuitwaa kanzu yako, mwachie na joho pia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama mutu akitaka kukushitaki kusudi akunyanganye shemizi yako, umwachie koti yako vilevile.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na mtu atakae kukushtaki na kuitwaa kanzu yako, mwachie na joho.