Matthew 5:6 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Heri wenye njaa na kiu ya kufanya atakavyo Mungu, maana watashibishwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Heri wenye njaa na kiu ya haki, maana hao watatoshelezwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Heri wenye njaa na kiu ya haki; Maana hao watashibishwa.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Heri kwa wenye kiu na njaa ya kutenda haki. Kwa kuwa Mungu ataikidhi kiu na njaa yao.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Heri wenye njaa na kiu ya kufanya atakavyo Mungu, maana watashibishwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Heri wenye njaa na kiu ya kufanya atakavyo Mungu, maana watashibishwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Heri wenye njaa na kiu ya haki, maana hao watatoshelezwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Heri wenye njaa na kiu ya haki, maana hao watatoshelezwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Heri wenye njaa na kiu ya haki; Maana hao watashibishwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Heri wenye njaa na kiu ya kufanya atakavyo Mungu, maana watashibishwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wenye shangwe ndio wenye njaa na kiu ya kupata wongofu, maana hao watashibishwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Heri wenye njaa na kiu ya haki; Maana hao watashibishwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Heri wale wanaokuwa na njaa na kiu ya kufanya yanayokuwa haki, maana watashibishwa!
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Wa kheri wenye njaa na kiu ya haki: maana hawo watashiba.