Matthew 6:13 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Usitutie katika majaribu, lakini utuokoe na yule Mwovu.’ [ Kwa kuwa ufalme ni wako, na nguvu, na utukufu, hata milele. Amina.]
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usitutie majaribuni, bali utuokoe kutoka kwa yule mwovu [kwa kuwa ufalme ni wako, na nguvu, na utukufu, hata milele. Amen].’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na usitutie majaribuni, lakini utuokoe na yule mwovu. [Kwa kuwa ufalme ni wako, na nguvu, na utukufu, hata milele. Amina.]
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Usiruhusu tukajaribiwa, lakini utuokoe na Yule Mwovu.’
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Usitutie katika majaribu, lakini utuokoe na yule Mwovu. is Baadhi ya makala za zamani zina; Kwa kuwa ufalme ni wako, na nguvu, na utukufu, hata milele. Amina.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usitutie katika majaribu, lakini utuokoe na yule Mwovu.’
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usitutie majaribuni, bali utuokoe kutoka kwa yule mwovu [kwa kuwa Ufalme ni wako na nguvu na utukufu, hata milele. Amen].’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usitutie majaribuni, bali utuokoe kutoka kwa yule mwovu [kwa kuwa Ufalme ni wako, na nguvu, na utukufu, hata milele. Amen].’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na usitutie majaribuni, lakini utuokoe na yule mwovu. [Kwa kuwa ufalme ni wako, na nguvu, na utukufu, hata milele. Amina.]
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usitutie katika majaribu, lakini utuokoe na yule Mwovu.’ [ Kwa kuwa ufalme ni wako, na nguvu, na utukufu, hata milele. Amina.]
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Usituingize majaribuni! Ila tuokoe maovuni! Kwani wako ni ufalme na nguvu na utukufu kale na kale. Amin.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na usitutie majaribuni, lakini utuokoe na yule mwovu. [Kwa kuwa ufalme ni wako, na nguvu, na utukufu, hata milele. Amina.]
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usituache kuanguka katika majaribu, lakini utuokoe na yule Mwovu. [Kwa maana ufalme, uwezo na utukufu ni vyako hata milele. Amina.]’
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Usitutie majaribuni, bali utuokoe na yule mwovu.