Matthew 6:17 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe lakini unapofunga, paka kichwa chako mafuta, nawa uso wako,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini unapofunga, jipake mafuta kichwani na kunawa uso wako,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bali wewe ufungapo, jipake mafuta kichwani, unawe uso;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hivyo unapofunga, nawa uso wako na ujiweke katika mwonekano mzuri,
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wewe lakini unapofunga, paka kichwa chako mafuta, nawa uso wako,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe lakini unapofunga, paka kichwa chako mafuta, nawa uso wako,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini mnapofunga, jipakeni mafuta kichwani na kunawa nyuso zenu
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini mnapofunga, jipakeni mafuta kichwani na kunawa nyuso zenu
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bali wewe ufungapo, jipake mafuta kichwani, unawe uso;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe lakini unapofunga, paka kichwa chako mafuta, nawa uso wako,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini wewe unapofunga jipake kichwa chako mafuta, unawe nao uso wako,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bali wewe ufungapo, jipake mafuta kichwani, unawe uso;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini wewe unapofunga kula chakula, unawe uso wako na kuchanua nywele zako,
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bali wewe ufungapo, jipake mafuta kichwani, unawe nso;