Matthew 8:12 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini wale ambao ufalme huo ni wao watatupwa nje, gizani, ambako watalia na kusaga meno.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini warithi wa ufalme watatupwa katika giza la nje, ambako kutakuwa kilio na kusaga meno.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
bali wana wa ufalme watatupwa katika giza la nje, ndiko kutakuwako kilio na kusaga meno.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na wale wanaopaswa kuwa katika ufalme watatupwa nje gizani. Na huko watalia na kusaga meno yao kwa sababu ya maumivu.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini wale ambao wangalipaswa kuwa katika Ufalme huo watatupwa nje, gizani, ambako watalia na kusaga meno.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini wale ambao ufalme huo ni wao watatupwa nje, gizani, ambako watalia na kusaga meno.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini warithi wa ufalme watatupwa katika giza la nje, ambako kutakuwa na kulia na kusaga meno.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini warithi wa Ufalme watatupwa katika giza la nje, ambako kutakuwako kilio na kusaga meno.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
bali wana wa ufalme watatupwa katika giza la nje, ndiko kutakuwako kilio na kusaga meno.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini wale ambao ufalme huo ni wao watatupwa nje, gizani, ambako watalia na kusaga meno.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
lakini wana wa huo ufalme watatupwa penye giza lililoko nje; ndiko, kitakakokuwa kilio na kukereza meno.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
bali wana wa ufalme watatupwa katika giza la nje, ndiko kutakuwako kilio na kusaga meno.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini wale waliopaswa kushiriki katika Ufalme ule watatupwa inje kwenye giza, na kule watalia na kusaga meno.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
bali wana wa ufalme watatupwa katika giza la nje; ndiko kutakuwa kilio na kusaga meno.