Matthew 8:19 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwalimu mmoja wa sheria akamwendea, akamwambia, “Mwalimu, mimi nitakufuata kokote utakakokwenda.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha mwalimu mmoja wa sheria akamjia Isa na kumwambia, “Mwalimu, nitakufuata popote utakakoenda.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwandishi mmoja akamwendea, akamwambia, Mwalimu, nitakufuata ko kote uendako.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kisha, mwalimu wa sheria ya Musa akamwendea na kumwambia, “Mwalimu, nitakufuata kila mahali utakapokwenda.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mwalimu mmoja wa Sheria akamwendea, akamwambia, “Mwalimu, mimi nitakufuata kokote uendako.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwalimu mmoja wa sheria akamwendea, akamwambia, “Mwalimu, mimi nitakufuata kokote utakakokwenda.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha mwalimu mmoja wa sheria akamjia Yesu na kumwambia, “Mwalimu, mimi nitakufuata po pote uendako.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha mwalimu mmoja wa sheria akamjia Isa na kumwambia, “Mwalimu, nitakufuata kokote uendako.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwandishi mmoja akamwendea, akamwambia, Mwalimu, nitakufuata kokote uendako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwalimu mmoja wa sheria akamwendea, akamwambia, “Mwalimu, mimi nitakufuata kokote utakakokwenda.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, mwandishi mmoja alipomjia, akamwambia: Mfunzi, nitakufuata po pote, utakapokwenda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwandishi mmoja akamwendea, akamwambia, Mwalimu, nitakufuata ko kote uendako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwalimu mumoja wa Sheria akamufikia na kumwambia: “Mwalimu, nitakufuata popote utakapokwenda.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Mwandishi mmoja akamwendea, akamwambia, Mwalimu, nitakufuata ko kote uendako.