Matthew 8:23 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yesu alipanda mashua, na wanafunzi wake wakaenda pamoja naye.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naye alipoingia kwenye mashua, wanafunzi wake wakamfuata.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akapanda chomboni, wanafunzi wake wakamfuata.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yesu alipanda mashua pamoja na wanafunzi wake.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Yesu alipanda mashua, na wanafunzi wake wakaenda pamoja naye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yesu alipanda mashua, na wanafunzi wake wakaenda pamoja naye.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naye alipoingia kwenye chombo, wanafunzi wake wakamfuata.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naye alipoingia kwenye mashua, wanafunzi wake wakamfuata.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akapanda katika mashua, wanafunzi wake wakamfuata.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yesu alipanda mashua, na wanafunzi wake wakaenda pamoja naye.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
*Alipoingia chomboni, wanafunzi wake wakafuatana naye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akapanda chomboni, wanafunzi wake wakamfuata.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu Yesu akaingia ndani ya chombo, nao wanafunzi wake wakaenda naye.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Akapanda chomboni, wanafunzi wake wakamfuata.