Matthew 8:30 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Karibu na mahali hapo kulikuwa na nguruwe wengi wakichungwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mbali kidogo kutoka pale walipokuwa, kulikuwa na kundi kubwa la nguruwe wakila.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, kulikuwako mbali nao kundi la nguruwe wengi wakilisha.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mbali kidogo na mahali hapo lilikuwepo kundi la nguruwe waliokuwa wanapata malisho yao.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Karibu na mahali hapo kulikuwa na nguruwe wengi wakichungwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Karibu na mahali hapo kulikuwa na nguruwe wengi wakichungwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mbali kidogo kutoka pale walipokuwa, kulikuwa na kundi kubwa la nguruwe wakilisha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mbali kidogo kutoka pale walipokuwa, kulikuwa na kundi kubwa la nguruwe wakilisha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, kulikuwako mbali nao kundi la nguruwe wengi wakila.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Karibu na mahali hapo kulikuwa na nguruwe wengi wakichungwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mbali yao kulikuwako kundi la nguruwe wengi waliokuwako malishoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, kulikuwako mbali nao kundi la nguruwe wengi wakilisha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na karibu na pale kulikuwa kundi kubwa la nguruwe wakijitafutia chakula.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi, kulikuwako mbali kundi la nguruwe wengi wakilisha.