Matthew 9:37 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo akawaambia wanafunzi wake, “Mavuno ni mengi, lakini wafanyakazi ni wachache.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo akawaambia wanafunzi wake, “Mavuno ni mengi lakini watendakazi ni wachache.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo alipowaambia wanafunzi wake, Mavuno ni mengi, lakini watenda kazi ni wachache.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yesu akawaambia wafuasi wake, “Kuna mavuno mengi ya watu ya kuleta. Lakini kuna wafanyakazi wachache wa kusaidia kuwavuna.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Hapo akawaambia wanafunzi wake, “Mavuno ni mengi, lakini wavunaji ni wachache.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo akawaambia wanafunzi wake, “Mavuno ni mengi, lakini wafanyakazi ni wachache.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo akawaambia wanafunzi wake, “Mavuno ni mengi lakini watenda kazi ni wachache,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo akawaambia wanafunzi wake, “Mavuno ni mengi lakini watendakazi ni wachache.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo alipowaambia wanafunzi wake, Mavuno ni mengi, lakini watendakazi ni wachache.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo akawaambia wanafunzi wake, “Mavuno ni mengi, lakini wafanyakazi ni wachache.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, alipowaambia wanafunzi wake: Mavuno ni mengi, lakini watenda kazi ni wachache.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo alipowaambia wanafunzi wake, Mavuno ni mengi, lakini watenda kazi ni wachache.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu akawaambia wanafunzi wake: “Mavuno ni mengi, lakini wavunaji ni wachache.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Ndipo akawaambia wanafunzi wake, Mavuno ni makubwa, bali watenda kazi wachache.