Matthew 9:38 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi mwombeni mwenye mavuno atume wafanyakazi wavune mavuno yake.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo mwombeni Bwana wa mavuno, ili atume watendakazi katika shamba lake la mavuno.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi mwombeni Bwana wa mavuno, apeleke watenda kazi katika mavuno yake.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mungu anamiliki mavuno. Mwombeni atume wafanyakazi wengi zaidi wa kusaidia kukusanya mavuno yake.”
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Kwa hivyo mwombeni mwenye shamba atume wavunaji shambani mwake.”
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi mwombeni mwenye mavuno atume wafanyakazi wavune mavuno yake.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo mwombeni Bwana wa mavuno, ili apeleke watenda kazi katika shamba lake la mavuno.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo mwombeni Mwenyezi Mungu, Bwana wa mavuno, ili apeleke watendakazi katika shamba lake la mavuno.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi mwombeni Bwana wa mavuno, atume wafanya kazi katika mavuno yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi mwombeni mwenye mavuno atume wafanyakazi wavune mavuno yake.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwombeni mwenye mavuno, apeleke watenda kazi katika mavuno yake!*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi mwombeni Bwana wa mavuno, apeleke watenda kazi katika mavuno yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi muombe Bwana mwenyeji wa mavuno awatume wavunaji wengine kwa kuvuna mavuno yake.”
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bassi mwombeni Bwana wa mavuno, apeleke watenda kazi katika mavuno yake.