Micah 1:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msiitangaze habari hii huko Gathi, wala msilie machozi! Huko Beth-leafra mgaegae mavumbini kwa huzuni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usiliseme hili huko Gathi; usilie hata kidogo. Huko Beth-le-Afra gaagaa mavumbini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Msiyahubiri haya katika Gathi, msilie kamwe; Katika Beth-le-Afra ugae-gae mavumbini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msiitangaze habari hii huko Gathi, wala msilie machozi! Huko Beth-leafra mgaegae mavumbini kwa huzuni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usiliseme hili huko Gathi; usilie hata kidogo. Huko Beth-le-Afra ugaegae mavumbini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usiliseme hili huko Gathi; usilie hata kidogo. Huko Beth-le-Afra gaagaa mavumbini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Msiyahubiri haya katika Gathi, msilie kamwe; Katika Beth-le-Afra ugaegae mavumbini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msiitangaze habari hii huko Gathi, wala msilie machozi! Huko Beth-leafra mgaegae mavumbini kwa huzuni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Msiyasimulie Gati (Penye Masimulio), msilie kabisa! Gaagaeni uvumbini Beti-Leafura (Nyumba ya Uvumbi)!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Msiyahubiri haya katika Gathi, msilie kamwe; Katika Beth-le-Afra ugae-gae mavumbini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musiitangaze habari hii kule Gati, wala musilie machozi! Kule Beti-Leafura mugaegae katika mavumbi kwa huzuni.