Micah 1:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Enyi wakazi wa Lakishi, fungeni farasi wepesi na magari ya vita. Nyinyi mlikuwa mmeiga dhambi ya watu wa Siyoni, makosa ya Waisraeli yalikuwa kwenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Enyi mnaoishi Lakishi, fungeni farasi kwenye magari ya vita. Mlikuwa chanzo cha dhambi kwa Binti Sayuni, kwa kuwa makosa ya Israeli yalikutwa kwako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mfungie gari la vita farasi Aliye mwepesi, ukaaye Lakishi; Alikuwa mwanzo wa dhambi kwa binti Sayuni; Maana makosa ya Israeli yameonekana kwako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Enyi wakazi wa Lakishi, fungeni farasi wepesi na magari ya vita. Nyinyi mlikuwa mmeiga dhambi ya watu wa Siyoni, makosa ya Waisraeli yalikuwa kwenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Enyi mkaao Lakishi, fungeni farasi kwenye magari ya vita. Mlikuwa chanzo cha dhambi kwa Binti Sayuni, kwa kuwa makosa ya Israeli yalikutwa kwako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Enyi mkaao Lakishi, fungeni farasi kwenye magari ya vita. Mlikuwa chanzo cha dhambi kwa Binti Sayuni, kwa kuwa makosa ya Israeli yalikutwa kwako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mfungie gari la vita farasi Aliye mwepesi, wakazi wa Lakishi; Alikuwa mwanzo wa dhambi kwa binti Sayuni; Maana makosa ya Israeli yameonekana kwako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Enyi wakazi wa Lakishi, fungeni farasi wepesi na magari ya vita. Nyinyi mlikuwa mmeiga dhambi ya watu wa Siyoni, makosa ya Waisraeli yalikuwa kwenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Gari la vita lifungie farasi wenye mbio, ukaaye Lakisi (Panapopigwa Mbio)! Kwani huko ndiko, binti Sioni alikoanzia kukosa, kwani kwao ndiko, mapotovu ya Isiraeli yalikoonekana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mfungie gari la vita farasi Aliye mwepesi, ukaaye Lakishi; Alikuwa mwanzo wa dhambi kwa binti Sayuni; Maana makosa ya Israeli yameonekana kwako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Enyi wakaaji wa Lakisi, mufunge farasi wepesi na magari ya vita. Ninyi mulikuwa mumeiga zambi ya watu wa Sayuni, makosa ya Waisraeli yalikuwa kwenu.