Micah 1:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sikilizeni enyi watu wote; sikiliza ewe dunia na vyote vilivyomo. Mwenyezi-Mungu anakuja kuwashtaki, Bwana anena kutoka hekalu lake takatifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sikieni, enyi mataifa, enyi nyote, sikilizeni, ee dunia na wote mliomo, ili Bwana Mungu Mwenyezi ashuhudie dhidi yenu, Bwana kutoka Hekalu lake takatifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sikilizeni, enyi watu wa kabila zote; sikiliza, Ee dunia, na vyote vilivyomo; Bwana MUNGU na ashuhudie juu yenu, yeye Bwana kutoka hekalu lake takatifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sikilizeni enyi watu wote; sikiliza ewe dunia na vyote vilivyomo. Mwenyezi-Mungu anakuja kuwashtaki, Bwana anena kutoka hekalu lake takatifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sikia, Ee mataifa, enyi nyote, sikilizeni, Ee dunia na wote mliomo ndani yake, ili BWANA Mwenyezi ashuhudie dhidi yenu, Bwana kutoka Hekalu lake takatifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sikieni, enyi mataifa, enyi nyote, sikilizeni, ee dunia na wote mliomo ndani yake, ili bwana Mwenyezi ashuhudie dhidi yenu, Bwana kutoka Hekalu lake takatifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sikilizeni, enyi watu wa kabila zote; sikiliza, Ee dunia, na vyote vilivyomo; Bwana MUNGU na ashuhudie juu yenu, yeye Bwana kutoka hekalu lake takatifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sikilizeni enyi watu wote; sikiliza ewe dunia na vyote vilivyomo. Mwenyezi-Mungu anakuja kuwashtaki, Bwana anena kutoka hekalu lake takatifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sikieni, ninyi makabila yote! Sikilizeni, nchi nao wote walioko! Bwana Mungu na atoe ushahidi wa kuwashinda ninyi akitokea katika Jumba lake takatifu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sikilizeni, enyi watu wa kabila zote; sikiliza, Ee dunia, na vyote vilivyomo; Bwana MUNGU na ashuhudie juu yenu, yeye Bwana kutoka hekalu lake takatifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musikilize enyi watu wote; sikiliza ewe dunia na vyote vinavyokuwa ndani yako. Bwana wetu Yawe anakuja kuwashitaki, Bwana wetu anasema kutoka hekalu lake takatifu.