Micah 1:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naam! Mwenyezi-Mungu yuaja kutoka makao yake; atashuka na kutembea juu ya vilele vya dunia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tazama! Mwenyezi Mungu anakuja kutoka mahali pake; anashuka na kukanyaga mahali palipoinuka juu pa dunia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana, angalieni, Bwana anakuja akitoka mahali pake, naye atashuka, na kupakanyaga mahali pa dunia palipoinuka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naam! Mwenyezi-Mungu yuaja kutoka makao yake; atashuka na kutembea juu ya vilele vya dunia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tazama! BWANA anakuja kutoka makao yake; anashuka na kukanyaga mahali palipoinuka juu pa dunia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tazama! bwana anakuja kutoka mahali pake; anashuka na kukanyaga mahali palipoinuka juu pa dunia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana, angalieni, BWANA anakuja akitoka mahali pake, naye atashuka, na kupakanyaga mahali pa dunia palipoinuka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naam! Mwenyezi-Mungu yuaja kutoka makao yake; atashuka na kutembea juu ya vilele vya dunia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani mtamwona Bwana, akiondoka mahali pake, akishuka akikanyaga juu ya vilima vya nchi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana, angalieni, BWANA anakuja akitoka mahali pake, naye atashuka, na kupakanyaga mahali pa dunia palipoinuka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kweli, anakuja kutoka makao yake; atashuka na kutembea juu ya vilele vya dunia.