Micah 1:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Majeraha ya Samaria hayaponyeki, nayo yameipata pia Yuda; yamefikia lango la Yerusalemu, mahali wanapokaa watu wangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa sababu jeraha lake halitibiki; limekuja kwa Yuda. Limefika hasa kwenye lango la watu wangu, hata Yerusalemu kwenyewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana jeraha zake haziponyekani; Maana msiba umeijilia hata Yuda, Unalifikia lango la watu wangu, Naam, hata Yerusalemu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Majeraha ya Samaria hayaponyeki, nayo yameipata pia Yuda; yamefikia lango la Yerusalemu, mahali wanapokaa watu wangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa sababu jeraha lake halitibiki; limekuja Yuda. Limefika hasa kwenye lango la watu wangu, hata Yerusalemu kwenyewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa sababu jeraha lake halitibiki; limekuja Yuda. Limefika hasa kwenye lango la watu wangu, hata Yerusalemu kwenyewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana majeraha yake hayaponyeki; Maana msiba umeijia hata Yuda, Unalifikia lango la watu wangu, Naam, hata Yerusalemu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Majeraha ya Samaria hayaponyeki, nayo yameipata pia Yuda; yamefikia lango la Yerusalemu, mahali wanapokaa watu wangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani mapigo yako hayaponi, yatamfikia naye Yuda, yatagonga hata malangoni kwao, walio ukoo wangu, mle malangoni mwa Yerusalemu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana jeraha zake haziponyekani; Maana msiba umeijilia hata Yuda, Unalifikia lango la watu wangu, Naam, hata Yerusalemu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vidonda vya Samaria haviwezi kupona, navyo vimeipata vilevile inchi ya Yuda; vimefikia kwenye mulango wa Yerusalema, pahali watu wangu wanapokaa.