Micah 2:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa hiyo hamtagawiwa sehemu yoyote ya ardhi miongoni mwa watu wake Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo hutakuwa na yeyote katika kusanyiko la Mwenyezi Mungu wa kugawanya mashamba kwa kura.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa hiyo hutakuwa na mtu atakayeitupa kamba kwa kura katika mkutano wa Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa hiyo hamtagawiwa sehemu yoyote ya ardhi miongoni mwa watu wake Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo hutakuwa na ye yote katika kusanyiko la BWANA wa kugawanya mashamba kwa kura.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo hutakuwa na yeyote katika kusanyiko la bwana wa kugawanya mashamba kwa kura.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa hiyo hamtakuwa na mtu atakayeitupa kamba kwa kura katika mkutano wa BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa hiyo hamtagawiwa sehemu yoyote ya ardhi miongoni mwa watu wake Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo hamtapata tena katika mkutano wa Bwana atakayempimia mtu fungu, alilolipata kwa kura.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa hiyo hutakuwa na mtu atakayeitupa kamba kwa kura katika mkutano wa BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo hamutagawanyiwa sehemu yoyote ya inchi kati ya watu wa Yawe.