Micah 2:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Usituhubirie sisi. Mambo kama hayo si ya kuhubiriwa. Sisi hatutakumbwa na maafa!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Manabii wao husema, “Usitabiri. Usitabiri kuhusu vitu hivi; aibu haitatupata.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Msitabiri, ndivyo watabirivyo; wasiyatabiri mambo haya; lawama hazikomi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Usituhubirie sisi. Mambo kama hayo si ya kuhubiriwa. Sisi hatutakumbwa na maafa!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Manabii wao husema, “Usitabiri. Usitabiri kuhusu vitu hivi; aibu haitatupata.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Manabii wao husema, “Usitabiri. Usitabiri kuhusu vitu hivi; aibu haitatupata.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Msitabiri, ndivyo watabirivyo; wasiyatabiri mambo haya; lawama hazikomi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Usituhubirie sisi. Mambo kama hayo si ya kuhubiriwa. Sisi hatutakumbwa na maafa!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wao huhubiri: Msihubiri! Haifai kuhubiri mambo kama hayo, matusi nayo hayakomi!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Msitabiri, ndivyo watabirivyo; wasiyatabiri mambo haya; lawama hazikomi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usituhubirie sisi. Mambo kama hayo si ya kuhubiriwa. Sisi hatutapatwa na hasara!