Micah 2:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, yafaa kusema hivyo, wazawa wa Yakobo? Je, Mwenyezi-Mungu ameacha uvumilivu wake? Je, yeye hufanya mambo kama haya?” Sivyo! Maneno yangu huwafaa watendao mambo mema.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, ingesemwa, ee nyumba ya Yakobo: “Je, Roho wa Mwenyezi Mungu amekasirika? Je, yeye hufanya vitu kama hivyo?” “Je, maneno yangu hayamfanyii mema yeye ambaye njia zake ni nyofu?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Litasemwa neno hili, enyi nyumba ya Yakobo, Roho ya Bwana imepunguzwa? Je! Haya ni matendo yake? Je! Maneno yangu hayamfai yeye aendaye kwa unyofu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, yafaa kusema hivyo, wazawa wa Yakobo? Je, Mwenyezi-Mungu ameacha uvumilivu wake? Je, yeye hufanya mambo kama haya?” Sivyo! Maneno yangu huwafaa watendao mambo mema.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, ingesemwa, Ee nyumba ya Yakobo: “Je, Roho wa BWANA amekasirika? Je, yeye hufanya vitu kama hivyo?” “Je, maneno yangu hayamfanyii mema yeye ambaye njia zake ni nyofu?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, ingesemwa, ee nyumba ya Yakobo: “Je, Roho wa bwana amekasirika? Je, yeye hufanya vitu kama hivyo?” “Je, maneno yangu hayamfanyii mema yeye ambaye njia zake ni nyofu?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Litasemwa neno hili, enyi nyumba ya Yakobo, Roho ya BWANA imepunguzwa? Je! Haya ni matendo yake? Je! Maneno yangu hayamfai yeye aendaye kwa unyofu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, yafaa kusema hivyo, wazawa wa Yakobo? Je, Mwenyezi-Mungu ameacha uvumilivu wake? Je, yeye hufanya mambo kama haya?” Sivyo! Maneno yangu huwafaa watendao mambo mema.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Sio walio mlango wa Yakobo wanaosema: Inakuwaje? Roho yake Bwana ni nyepesi ya kukasirika? Au matendo yake ni yayo hayo? Hasemi: Ninamwendea kwa wema ashikaye njia inyokayo?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Litasemwa neno hili, enyi nyumba ya Yakobo, Roho ya BWANA imepunguzwa? Je! Haya ni matendo yake? Je! Maneno yangu hayamfai yeye aendaye kwa unyofu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Inafaa kusema hivyo, enyi wazao wa Yakobo? Yawe ameacha uvumilivu wake? Yeye anafanya mambo kama haya? Maneno yangu yanawafalia wenye mwenendo sawa.