Micah 2:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mnawafukuza wake za watu wangu kutoka nyumba zao nzuri; watoto wao mmewaondolea fahari yangu milele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Unawahamisha wanawake wa watu wangu kutoka nyumba zao za kupendeza. Unaondoa baraka yangu kwa watoto wao milele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wanawake wa watu wangu mwawatupa nje ya nyumba zao nzuri; watoto wao wachanga mwawanyang'anya utukufu wangu milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mnawafukuza wake za watu wangu kutoka nyumba zao nzuri; watoto wao mmewaondolea fahari yangu milele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Unawahamisha wanawake wa watu wangu kutoka kwenye nyumba zao za kupendeza. Unaondoa baraka yangu kwa watoto wao milele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Unawahamisha wanawake wa watu wangu kutoka kwenye nyumba zao za kupendeza. Unaondoa baraka yangu kwa watoto wao milele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wanawake wa watu wangu mnawatupa nje ya nyumba zao nzuri; watoto wao wachanga mnawanyang'anya utukufu wangu milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mnawafukuza wake za watu wangu kutoka nyumba zao nzuri; watoto wao mmewaondolea fahari yangu milele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wanawake wao walio ukoo wangu mwawafukuza katika nyumba zao zilizowapendeza, watoto wachanga wao mkawanyang'anya utukufu wangu, wasiupate kale na kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wanawake wa watu wangu mwawatupa nje ya nyumba zao nzuri; watoto wao wachanga mwawanyang’anya utukufu wangu milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Munawafukuza wake za watu wangu kutoka nyumba zao nzuri. Mumewaondolea watoto wao utukufu wangu milele.