Micah 3:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nyinyi mnajenga mji wa Siyoni kwa damu, naam, mji wa Yerusalemu kwa dhuluma.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
mnaojenga Sayuni kwa kumwaga damu na Yerusalemu kwa uovu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wanaijenga Sayuni kwa damu, na Yerusalemu kwa uovu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nyinyi mnajenga mji wa Siyoni kwa damu, naam, mji wa Yerusalemu kwa dhuluma.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
mnaojenga Sayuni kwa kumwaga damu na Yerusalemu kwa uovu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
mnaojenga Sayuni kwa kumwaga damu na Yerusalemu kwa uovu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wanaoijenga Sayuni kwa damu, na Yerusalemu kwa uovu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nyinyi mnajenga mji wa Siyoni kwa damu, naam, mji wa Yerusalemu kwa dhuluma.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sioni mwaujenga kwa damu nao Yerusalemu kwa mapotovu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wanaijenga Sayuni kwa damu, na Yerusalemu kwa uovu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninyi munajenga Sayuni kwa damu, Yerusalema kwa uovu.