Micah 3:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Kwenu manabii kutakuwa usiku bila maono, kutakuwa giza kwenu bila ufunuo. Kwenu manabii kutakuchwa, mchana utakuwa giza kwenu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo usiku utawajieni, msiweze kuwa na maono, na giza, msiweze kubashiri. Jua litawachwea manabii hao, nao mchana utakuwa giza kwao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa hiyo itakuwa usiku kwenu, msipate kuona maono; tena itakuwa giza kwenu, msiweze kubashiri; nalo jua litawachwea manabii, nao mchana utakuwa mweusi juu yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Kwenu manabii kutakuwa usiku bila maono, kutakuwa giza kwenu bila ufunuo. Kwenu manabii kutakuchwa, mchana utakuwa giza kwenu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo usiku utawajieni, msiweze kuwa na maono, na giza, msiweze kubashiri. Jua litawachwea manabii hao, nao mchana utakuwa giza kwao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo usiku utawajieni, msiweze kuwa na maono, na giza, msiweze kubashiri. Jua litawachwea manabii hao, nao mchana utakuwa giza kwao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa hiyo itakuwa usiku kwenu, msipate kuona maono; tena itakuwa giza kwenu, msiweze kubashiri; nalo jua litawachwea manabii, nao mchana utakuwa mweusi juu yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Kwenu manabii kutakuwa usiku bila maono, kutakuwa giza kwenu bila ufunuo. Kwenu manabii kutakuchwa, mchana utakuwa giza kwenu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo usiku utawaguia, msione kitu, na giza, msiweze kuagua, nalo jua litawachwea wafumbuaji hao, hata siku itakuwa yenye giza kwao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa hiyo itakuwa usiku kwenu, msipate kuona maono; tena itakuwa giza kwenu, msiweze kubashiri; nalo jua litawachwea manabii, nao mchana utakuwa mweusi juu yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwenu manabii kutakuwa usiku bila maono, kutakuwa giza kwenu bila ufunuo. Jua litatua juu yenu, na muchana utakuwa giza kwenu.