Micah 3:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mabingwa wa maono watafedheheka, mafundi wa kubashiri wataaibishwa; wote watafunga midomo yao, maana hawatapata jibu lolote kutoka kwa Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waonaji wataaibika na waaguzi watafedheheka. Wote watafunika nyuso zao kwa sababu hakuna jibu litokalo kwa Mungu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hao waonaji watatahayarika, na wenye kubashiri watafadhaika; naam, hao wote watajifunika midomo yao; kwa maana; hapana jawabu la Mungu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mabingwa wa maono watafedheheka, mafundi wa kubashiri wataaibishwa; wote watafunga midomo yao, maana hawatapata jibu lolote kutoka kwa Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waonaji wataaibika na waaguzi watafedheheka. Wote watafunika nyuso zao kwa sababu hakuna jibu litokalo kwa Mungu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waonaji wataaibika na waaguzi watafedheheka. Wote watafunika nyuso zao kwa sababu hakuna jibu litokalo kwa Mungu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hao waonaji wataaibika, na wenye kubashiri watafadhaika; naam, hao wote watajifunika midomo yao; kwa maana; hapana jawabu la Mungu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mabingwa wa maono watafedheheka, mafundi wa kubashiri wataaibishwa; wote watafunga midomo yao, maana hawatapata jibu lolote kutoka kwa Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, hao wachunguzaji watakapopatwa na soni, nao waaguaji hao wataiva nyuso, wao wote watajifunika ndevu zao za midomo, kwa kuwa Mungu hawajibu kamwe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hao waonaji watatahayarika, na wenye kubashiri watafadhaika; naam, hao wote watajifunika midomo yao; kwa maana; hapana jawabu la Mungu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waonaji watafezeheka, waaguzi watapata haya; wote watafunga midomo yao, maana hawatapata jibu lolote kutoka kwa Mungu.