Micah 4:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mataifa mengine hufuata njia zao, kwa kuitegemea miungu yao, lakini sisi twafuata njia zetu kwa kumtegemea Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, milele na milele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mataifa yote yanaweza kutembea katika jina la miungu yao; sisi tutatembea katika jina la Mwenyezi Mungu, Mungu wetu milele na milele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana mataifa yote watakwenda, kila moja kwa jina la mungu wake, na sisi tutakwenda kwa jina la Bwana, Mungu wetu, milele na milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mataifa mengine hufuata njia zao, kwa kuitegemea miungu yao, lakini sisi twafuata njia zetu kwa kumtegemea Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, milele na milele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mataifa yote yanaweza kutembea katika jina la miungu yao; sisi tutatembea katika jina la BWANA Mungu wetu milele na milele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mataifa yote yanaweza kutembea katika jina la miungu yao; sisi tutatembea katika jina la bwana Mungu wetu milele na milele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana mataifa yote watakwenda, kila moja kwa jina la mungu wake, na sisi tutakwenda kwa jina la BWANA, Mungu wetu, milele na milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mataifa mengine hufuata njia zao, kwa kuitegemea miungu yao, lakini sisi twafuata njia zetu kwa kumtegemea Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, milele na milele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani makabila yote kila moja hujiendea katika jina la mungu wake, lakini sisi tutakwenda kwa Jina la Bwana Mungu wetu siku zote kale na kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana mataifa yote watakwenda, kila moja kwa jina la mungu wake, na sisi tutakwenda kwa jina la BWANA, Mungu wetu, milele na milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mataifa mengine yanafuata njia zao, kwa kuitegemea miungu yao, lakini sisi tunafuata njia zetu kwa kumutegemea Yawe, Mungu wetu, milele na milele.