Micah 5:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu asema, “Wakati huo nitawaondoa farasi wenu, na kuyaharibu magari yenu ya farasi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Katika siku ile,” asema Mwenyezi Mungu, “nitaangamiza farasi wenu kati yenu, na kubomoa magari yenu ya vita.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha itakuwa katika siku hiyo, asema Bwana, nitawakatilia mbali farasi zako watoke kati yako, nami nitayaharibu magari yako ya vita;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitaiharibu miji ya nchi yenu, na kuzibomolea mbali ngome zenu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Katika siku ile,” asema BWANA, “nitaangamiza farasi zenu katikati yenu na kubomoa magari yenu ya vita.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Katika siku ile,” asema bwana, “nitaangamiza farasi zenu katikati yenu na kubomoa magari yenu ya vita.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha itakuwa katika siku hiyo, asema BWANA, nitawakatilia mbali farasi wako watoke kati yako, nami nitayaharibu magari yako ya vita;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu asema, “Wakati huo nitawaondoa farasi wenu, na kuyaharibu magari yenu ya farasi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo miji ya nchi yako nitaitowesha, nayo maboma yako yote nitayabomoa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha itakuwa katika siku hiyo, asema BWANA, nitawakatilia mbali farasi zako watoke kati yako, nami nitayaharibu magari yako ya vita;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitaiharibu miji ya inchi yenu, na kubomoa vikingio vyenu.