Micah 5:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitazing'oa sanamu za Ashera kutoka kwenu, na kuiangamiza miji yenu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitang’oa nguzo za Ashera kati yenu, na kubomoa miji yenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nitayang'oa maashera yenu, yasiwe kati yako; nami nitaiangamiza miji yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa hasira na ghadhabu yangu, nitalipiza kisasi mataifa yote yasiyonitii.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitang'oa nguzo za Ashera katikati yenu na kubomoa miji yenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitang’oa nguzo za Ashera katikati yenu na kubomoa miji yenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nitayang'oa maashera yenu, yasiwe kati yako; nami nitaiangamiza miji yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitazing'oa sanamu za Ashera kutoka kwenu, na kuiangamiza miji yenu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa makali yenye moto nitawalipisha wamizimu wasiosikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nitayang’oa maashera yenu, yasiwe kati yako; nami nitaiangamiza miji yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hasira na kasirani yangu, nitalipiza kisasi mataifa yote yasiyonitii.