Micah 5:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waisraeli watawashinda adui zao na kuwaangamiza kabisa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mkono wako utainuliwa juu kwa ushindi juu ya watesi wako, nao adui zako wote wataangamizwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mkono wako na uinuliwe juu ya adui zako, na adui zako wote wakauliwe mbali.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu asema, “Wakati huo nitawaondoa farasi wenu, na kuyaharibu magari yenu ya farasi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mkono wako utainuliwa juu kwa ushindi juu ya watesi wako, nao adui zako wote wataangamizwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mkono wako utainuliwa juu kwa ushindi juu ya watesi wako, nao adui zako wote wataangamizwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mkono wako na uinuliwe juu ya adui zako, na adui zako wote wakauawe mbali.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waisraeli watawashinda adui zao na kuwaangamiza kabisa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, asemavyo Bwana: Siku hiyo itakuwa, nitakapotowesha kwako farasi wako, nayo magari yako ya vita nitayapoteza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mkono wako na uinuliwe juu ya adui zako, na adui zako wote wakauliwe mbali.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati ule, nitawaondoa farasi wenu, na kuyaharibu magari yenu ya vita. –Ni ujumbe wa Yawe.–