Micah 6:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Je, nitavumilia maovu yaliyorundikwa nyumbani mwao, mali zilizopatikana kwa udanganyifu, na matumizi ya mizani danganyifu, jambo ambalo ni chukizo?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, bado nisahau, ee nyumba ya uovu, hazina yako uliyopata kwa udanganyifu na vipimo vilivyopunguka, ambavyo vimelaaniwa?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Hata sasa hazina za uovu zingalimo nyumbani mwa wabaya, na kipimo kilichopunguka, ambacho ni chukizo?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Je, nitavumilia maovu yaliyorundikwa nyumbani mwao, mali zilizopatikana kwa udanganyifu, na matumizi ya mizani danganyifu, jambo ambalo ni chukizo?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, bado nisahau, Ee nyumba ya uovu, hazina yako uliyopata kwa udanganyifu na vipimo vilivyopunguka, ambavyo vimelaaniwa?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, bado nisahau, ee nyumba ya uovu, hazina yako uliyopata kwa udanganyifu na vipimo vilivyopunguka, ambavyo vimelaaniwa?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Hata sasa hazina za uovu zingalimo nyumbani mwa wabaya, na kipimo kilichopunguka, ambacho ni chukizo?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Je, nitavumilia maovu yaliyorundikwa nyumbani mwao, mali zilizopatikana kwa udanganyifu, na matumizi ya mizani danganyifu, jambo ambalo ni chukizo?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Nyumbani mwao wasiomcha Mungu yangalimo bado malimbiko yaliyopatwa kwa uovu? nazo zile pishi nyembamba zilizoapizwa?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Hata sasa hazina za uovu zingalimo nyumbani mwa wabaya, na kipimo kilichopunguka, ambacho ni chukizo?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitavumilia maovu yaliyolundikwa ndani ya nyumba yao, mali zilizopatikana kwa udanganyifu, na matumizi ya vipimo vya udanganyifu, jambo ambalo ni chukizo?