Micah 6:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Je, naweza kusema hawana hatia watu wanaotumia mizani ya danganyifu na mawe ya kupimia yasiyo halali?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, naweza kuhukumu kuwa mtu mwenye mizani ya udanganyifu hana hatia, aliye na mfuko wa mawe ya kupimia ya uongo?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Naweza kuwa safi nami nina mizani ya udhalimu, na mfuko wa mawe ya kupimia ya udanganyifu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Je, naweza kusema hawana hatia watu wanaotumia mizani ya danganyifu na mawe ya kupimia yasiyo halali?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, naweza kuhukumu kuwa mtu mwenye mizani ya udanganyifu hana hatia, aliye na mfuko wa mawe ya kupimia ya uongo?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, naweza kuhukumu kuwa mtu mwenye mizani ya udanganyifu hana hatia, aliye na mfuko wa mawe ya kupimia ya uongo?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Naweza kuwa safi nami nina mizani ya udhalimu, na mfuko wa mawe ya kupimia ya udanganyifu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Je, naweza kusema hawana hatia watu wanaotumia mizani ya danganyifu na mawe ya kupimia yasiyo halali?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Niwawazie kuwa wametakata, ijapo watumie mizani za kuchukulia mali za watu bure? au ijapo watie mishipini vijiwe vya kupimia vidanganyavyo watu?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Naweza kuwa safi nami nina mizani ya udhalimu, na mfuko wa mawe ya kupimia ya udanganyifu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninaweza kusema kwamba hawana kosa watu wanaotumia vipimo vya udanganyifu na mawe ya kupimia yasiyokuwa ya kweli?