Micah 6:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Enyi watu wangu, nimewatendea nini? Nimewachosha kwa kitu gani? Nijibuni!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Watu wangu, nimewatendea nini? Nimewalemea kwa jinsi gani? Mnijibu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Enyi watu wangu, nimewatenda nini? Nami nimewachosha kwa habari gani? Shuhudieni juu yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Enyi watu wangu, nimewatendea nini? Nimewachosha kwa kitu gani? Nijibuni!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Watu wangu, nimewatendea nini? Nimewalemea kwa jinsi gani? Mnijibu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Watu wangu, nimewatendea nini? Nimewalemea kwa jinsi gani? Mnijibu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Enyi watu wangu, nimewatenda nini? Nami nimewachosha kwa kitu gani? Shuhudieni juu yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Enyi watu wangu, nimewatendea nini? Nimewachosha kwa kitu gani? Nijibuni!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ninyi mlio ukoo wangu, nimewafanyizia nini? Nimewachokoza kwa nini? Nijibuni!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Enyi watu wangu, nimewatenda nini? Nami nimewachosha kwa habari gani? Shuhudieni juu yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anasema hivi: Enyi watu wangu, nimewatendea nini? Nimewachokesha kwa kitu gani? Munijibu!