Micah 7:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku hiyo ndugu zenu watawarudia, kutoka Ashuru na vijiji vya Misri, kutoka nchi ya Misri na eneo la Eufrate; kutoka sehemu za maji na sehemu za milima.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku hiyo watu watakuja kwako kutoka Ashuru na miji ya Misri, hata kutoka Misri hadi Mto Frati, na kutoka bahari hadi bahari, na kutoka mlima hadi mlima.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Siku hiyo watakujia kutoka Ashuru na miji ya Misri, na kutoka Misri mpaka huo Mto, na kutoka bahari hii mpaka bahari hii, na kutoka mlima huu mpaka mlima huu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku hiyo ndugu zenu watawarudia, kutoka Ashuru na vijiji vya Misri, kutoka nchi ya Misri na eneo la Eufrate; kutoka sehemu za maji na sehemu za milima.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku hiyo watu watakuja kwako kutoka Ashuru na miji ya Misri, hata kutoka Misri hadi Eufrati na kutoka bahari hadi bahari na kutoka mlima hadi mlima.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku hiyo watu watakuja kwako kutoka Ashuru na miji ya Misri, hata kutoka Misri hadi Frati na kutoka bahari hadi bahari na kutoka mlima hadi mlima.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Siku hiyo watakujia kutoka Ashuru na miji ya Misri, na kutoka Misri mpaka huo Mto, na kutoka bahari hii mpaka bahari hii, na kutoka mlima huu mpaka mlima huu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku hiyo ndugu zenu watawarudia, kutoka Ashuru na vijiji vya Misri, kutoka nchi ya Misri na eneo la Eufrate; kutoka sehemu za maji na sehemu za milima.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku hiyo watakuja kwako watokao Asuri na miji ya Misri, tena kutoka Misri mpaka mto huo mkubwa, tena kutoka bahari hii mpaka bahari ya pili, tena kutoka mlima huu mpaka mlima ule.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Siku hiyo watakujia kutoka Ashuru na miji ya Misri, na kutoka Misri mpaka huo Mto, na kutoka bahari hii mpaka bahari hii, na kutoka mlima huu mpaka mlima huu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku hiyo wandugu zenu watawarudilia, kutoka Asuria na vijiji vya Misri, kutoka inchi ya Misri na eneo la muto Furati; kutoka sehemu za maji na sehemu za milima.