Micah 7:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nao watu wa mataifa watakapoona hayo, watajaa fedheha hata kama wana nguvu. Watashikwa na bumbuazi na kukosa cha kusema na kuwa kama viziwi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mataifa yataona na kuaibika, waliondolewa nguvu zao zote. Wataweka mikono yao kwenye vinywa vyao na masikio yao yatakuwa na uziwi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mataifa wataona, na kuzitahayarikia nguvu zao zote; wataweka mikono yao juu ya vinywa vyao, masikio yao yatakuwa na uziwi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nao watu wa mataifa watakapoona hayo, watajaa fedheha hata kama wana nguvu. Watashikwa na bumbuazi na kukosa cha kusema na kuwa kama viziwi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mataifa yataona na kuaibika, waliondolewa nguvu zao zote. Wataweka mikono yao kwenye vinywa vyao na masikio yao yatakuwa na uziwi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mataifa yataona na kuaibika, waliondolewa nguvu zao zote. Wataweka mikono yao kwenye vinywa vyao na masikio yao yatakuwa na uziwi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mataifa wataona, na kuziaibikia nguvu zao zote; wataweka mikono yao juu ya vinywa vyao, masikio yao yatakuwa na uziwi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nao watu wa mataifa watakapoona hayo, watajaa fedheha hata kama wana nguvu. Watashikwa na bumbuazi na kukosa cha kusema na kuwa kama viziwi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wamizimu watakapoyaona, watapatwa na soni, nguvu zao zote zikiwa za bure, wataweka mikono vinywani, nayo masikio watayaziba, yasisikie.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mataifa wataona, na kuzitahayarikia nguvu zao zote; wataweka mikono yao juu ya vinywa vyao, masikio yao yatakuwa na uziwi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nao watu wa mataifa watakapoona hayo, watafezeheka hata kama wana nguvu. Watapigwa na bumbuazi na kukosa cha kusema na kuwa kama viziwi.