Micah 7:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utaonesha uaminifu wako na rehema zako kwa wazawa wa Abrahamu na wa Yakobo, kama ulivyowaahidi wazee wetu tangu zamani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Utakuwa wa kweli kwa Yakobo, nawe utamwonesha Ibrahimu rehema, kama ulivyowaahidi kwa kiapo baba zetu siku za kale.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wewe utamtimilizia Yakobo kweli yako, na Ibrahimu rehema zako, ulizowaapia baba zetu tangu siku za kale.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utaonesha uaminifu wako na rehema zako kwa wazawa wa Abrahamu na wa Yakobo, kama ulivyowaahidi wazee wetu tangu zamani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Utakuwa wa kweli kwa Yakobo, nawe utamwonyesha Abrahamu rehema, kama ulivyowaahidi kwa kiapo baba zetu siku za kale.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Utakuwa wa kweli kwa Yakobo, nawe utamwonyesha Ibrahimu rehema, kama ulivyowaahidi kwa kiapo baba zetu siku za kale.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wewe utamtimilizia Yakobo kweli yako, na Abrahamu rehema zako, ulizowaapia baba zetu tangu siku za kale.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utaonesha uaminifu wako na rehema zako kwa wazawa wa Abrahamu na wa Yakobo, kama ulivyowaahidi wazee wetu tangu zamani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yakobo utamwendea kwa welekevu, naye Aburahamu kwa upole, kama ulivyowaapia baba zetu tangu siku zile za kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wewe utamtimilizia Yakobo kweli yako, na Ibrahimu rehema zako, ulizowaapia baba zetu tangu siku za kale.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utatuonyesha uaminifu na wema wako sisi wazao wa Abrahamu na wa Yakobo, kama ulivyowaahidi babu zetu tangu zamani.